ALIYE valia flana nyekundu ni Omi Dimpose (Pichani) wakwanza kulia na kushoto ni Alaw Jonior wote hawa niliwabamba jana wakiwa ukumbi wa juu wa Meridian Hotel kabla ya kuanza
kwa shoo ya Bendi yao ya TOP Band inayoongozwa na nyota TID kila siku ya alhamisi bendi hiyo ufanya makamuzi katika ukumbi wa Club Masai Kinondoni.
MZEE Yusuph akikamua jana Mango Garden nyuma yake aliyesimama ni Maimartha Jesse ambaye alikuwa ni mwandaaji na mshereheshaji katika Inshu hiyo jana.
MAMBO haya yalileta utamu Jana , pale kampuni ya Maimartha iitwayo Manyweleintertainment ilipokuwa imeandaa shindano la mkali wa kucheza Viduku
babu ndani ya ukumbi pia kuliwakamoto kwani Jahazi Modern Taarab chini ya Mzee Yusuph 'Mfalme' waliwakilisha vilivyo.
Comments