BANGO la Hoteli ilipopiga kambi Twiga Sters , eneo la Msasani timu hiyo kwa sasa ikokwenye mawindo kati ya mchezo ujao wa marudiano na timu dhidi ya timu ya wanawake ya Ethiopia , mchezo utakao pigwa hivi karibuni.
MMOJA wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya wanawake nchini hapa , Twiga Stars akitoka mdogo mdogo Hotelini leo.
TIMU ya Taifa Twiga Stars , baadhi ya wachezaji wakiwanje mida flani hivi leo wakisubiria basi kwenda mazoezini leo mchana.
unavyoona huyooo mchezaji wa Taifa wa timu hiyo akitoka kujiandaa na mazoezi saa mida ya saa 9:00 mchana , usafiri unaotumika kuipeleka timu hiyo mazoezini ni ule wa wadhamini Wakuu wa timu ya Taifa ya mpirawa miguu Taifa Sters Bank ya NMB.
Comments