WAMEJIACHIA kwenye Groove Back ni Mwisho Mwampamba wakwanza kulia akiwa na Tycoon Shah jamaa huyu anaujio wa albamu na sikuchache nitakueleza itakuwa na nyimbo ngapi.
na Dj Kelvin aliyevalia flana nyeusi ikiwa na maandiko meupe katika Groove Back jana alikuwa akishuudia ukali wa disko hilo.
Hapa palitikisa kazi ni mabinti waliokuwa wakitibua shughuli nzima .
Comments