Skip to main content

Babuuu Mzuka Ulishika Kasii Flava Nite Uku Basidai ya Boniluv ikitikisa

HUYU aliyeshika Chupa hiyo ndiye binti aliyejinyakulia Mvinyo baada ya kubuka mshindi katika setion ya muziki wa mduara katika disko la Flava Nite.

HII ni kasi ya uchezaji kutokana na mpangilio mzima wa Dj Boniluv na Dj Mackay & Oscar.


Keki ya basidai ya Bon ikikatwa. Othman Michuzi akilishwa keki na Dj Boniluv
katikati ni mwana dada Sabah akitazama tukio hilo.


DJ Muli -B kilishwa Keki.
TUTA anza hivi ili mambo yaende poa.







Comments