HUU ni ule ukali wa disko la Flava Nite jumamosi iliyopita katika disko linalo
tikisa na madj watau Dj Boniluv , Dj Mackay & Oscar. Picha hiyo niliona nipige na Salma bibie wa kwanza kutoka kushoto na wamwisho kuliani ni dada yake katika huo usiku wa Flava Nite.
JAY katikati akiwa na mdau wa disko la Flava Nite ,uku Dj Bula akiwa ameshika
mikono katika mifiko yake ya Jinsi.
HAA nimefuraishwa na hali ya ukumbi huuu kumbe mvinyo inagawiwa kweli , madj hawa katika Flava Nite wamebuni kitu fresh hali hii babu kubwaaaaa!!!!
WAKWANZA kutoka kushoto ni mshindi aliyeibika baada ya kucheza vilivyo muziki wa mduara na kazawadiwa chupa ya Mvinyo.
MOJA ya ukali ulionga'ra disko la Flava Nite
Ebwana weee ukali uuu si waku umiss kudadeki , ni Flava Nite hii.
Comments