HAPA katika mandhari ionekanayo ni nyumba ya Sanaa& Culture L.T.D kama bango linavyo elekeza .
JAMAA hawa nimewakuta wakijifua katika nyumba hiyo.
JAMAA hawa nimewakuta wakijifua katika nyumba hiyo.
NIKIWA katika pozi lapicha na Bother Lutengano leo jioni kijua cha usoni kuzama , huyo Bro ni mtuwa mfano katika gemu la uchoraji wa sanaa na ameisha fanya mengi katika Sanaa hiyo anapatikana katika Nyumba hiyo kesho blog itaanza kuku kukumegea mengi machache aliyonayo Bro huyu.
HAPA Lutengano nilimkuta kapozi baada ya kuwajibika jioni hii.
HAPA Lutengano nilimkuta kapozi baada ya kuwajibika jioni hii.
Comments