Skip to main content

Dar yapokea Pikipiki 100 toka China

PIKIPIKI 100 ambazo zimeletwa na meya wa jiji la Changzhou huko China walizoletwa kama zawadi kwa halmashauri ya jiji la dar zitatumika kwa halmashauri za ilala, temeke na kinondoni na pia chache zitapelekwa kituo cha polisi cha Urafiki kusaidia kazi.

Comments