JAMAA anaitwa Mor's mbali na kipaji chake cha sanaa ya uchoraji , anatisha kama mua za massika katika kipaji kingine cha Graphic Disgner .
Kipaji chake hicho ni moja ya kipaji sahii katika anga za uchoraji .
Mara kadhaa ua namkuta akichapa kazi hizo kwa mdau na mdhamini wa blog hii Marco Tibasima. Yupo ndani ya ofisi za mdau huyo.
Comments