cha Club Billicanas jumatano iliyopita , baada ya kuwa timeshuhudia muziki huo mnne wa Twanga , wadau kibao huwa wanajichanganya kuwachabo wana Twanga wanaongara vilivyo katika muziki wa dansi Pichani wambele kabisa ni mimi Machoibya na kutoka kushoto ni Dj Venture tukiwa na wadau wengine katika pozzz.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments