Alexander Mabala Munduka
Machi 29, 2010 umetimiza miaka mitatu(3) tangu ututoke kimwili.
Baba yetu mpendwa, tunakukumbuka sana wanao Veronica, Elizabeth na Leonard, mke wako Merciana pia wazazi wako , dada, kaka na wadogo zako.
Unakumbukwa na wakwe zako David na Marco, wajukuu zako Oprah na Mercy, ndugu, jamaa, marafiki na jirani zako pia.
Daima tutakukumbuka kwa upendo wako, ucheshi na huruma. Tutaendelea kukukumbuka zaidi kwa ushauri wako kwetu sisi wanao.
Baba tulikupenda ila Mwenyezi Mungu kakupenda zaidi.
MUNGU AKUREHEMU BABA YETU ULALE MAHALI PEMA PEPONI,
AMINA.

Comments