Pati la Teen Extra Award pale maeneo ya Mbaramwezi Dar es Salaam ilihusu Nominees IKUWA PANA sana iliandaliwa na Clouds FM kupitia kipindicha XXL , (Pichani ) Dj Muli -B akiwa na Qeen Dareen wamejiachia kwa pozi babu kubwa la Picha.
Hawa waliogerea ili ile babake.
Mapozi ya ndani ya Bwawa jana kwa raha zao.
Hayaaa mwezio miiieeeeee.
Dj B- 12 akiongea kinamna na Dj Venture jana .
Ebwana hapa tulipiga picha mie Machibya wakwanza kutoka kulia(Pichani), na msanii C-Pwaa
na aliniambia kuwa yeye sasa hivi kimaskani anaishi Block 41 Dar es Salaam , kwa hiyo ni jirani sana na Kikosi cha Mizinga ambalo ni kundi linaro fanya makamuzi ya Hip Hop ngumu.
Wadau waliojili jana Tamashani wakwanza kutoka kushoto anaitwa samu bode Imani anaishi Msasani
barabara ya Kimweli.
HK akijiachia kinamna jana na watotozzzz.
Niko na jamaa wa Hip Hop G - Mabovu wakwanza kulia sambamba na mie Machibya mmiliki wa blog hii.
Fid-Q akiwa na Jafar Rhymes wa wateule jana (Pichani), mambo yalikuwa yamekamilika ilembayaaaa.
Comments