Skip to main content

NI Soko Kuu karia Koo Dar es Salaam!!

HALI hii kiachwa kwa muda wa masaa kadhaa huwa ni hatari kwa afya ya mwanadamu.
Wanyabiashara katika soko hilo uwajibika kutupa taka hapa ila , wanaona kero kubwa kama
dampo hili lenye magurudumu ya kujongea , linapo kaa bila ya kuondoshwa kwa masaa .

Comments