NI hapa tuko full Bata , wakwanza kutpka kushoto ni mtoto wa hayati TX Mosh aliyekuwa
nguli katika muziki wa dansi nchini akiwa na bendi ya Msondo Ngoma tulikuwa tukijiachia
kwa kwenda mbele uku tukilichabo jukwaa la Twanga Pepeta Club Billz.
TWANGA wakiwajibika katika majukumu yao katika usiku wa Jumatano iliyopita kiwanja cha Club Billicanas .
NIPO na mdau nje ya club Billiz.
Comments