MZAZI tatizo la umeme sasa lishakuwa sooo , hapa nilikuwa nafanya mambo flani mida ya asubuhi hivi maeneo ya Mango Garden gafla umeme si uka katika , mzaziii ilibini niusubirie kwani hata ndani kulianza kuonesha giza zaidi , ebu cheki mzazii tatizo kama hili likukute umenyolewa kichwa kabla ya kumaliza umeme unakatika , hali hii sasa inachangia uchumi
kupolomoka na mishemishe za wengi kuwa na hali ya kudada kiani Town.
Comments