Skip to main content

Savanh Longe Jana Ilikuwa ni Mzuka

HAPA stori babuu zilikuwepo , jana tulikutana na mdau
huyu.

JAMA walijiajia mbaya , wako kwenye basidei uku wakisema tumechili , lakini tupo pamoja tunapenda kukaa kwenye viti virefu tunakumbushia baa za mtaani kwetu , wakwanza kutoka kulia anaitwa Mlumbi alikuwa kapozi na mshikaji wake katika ukumbi wa Savanh Longe ulikuwa na sherehe .

Comments