Skip to main content

Gari Hili Limepaki Likiuza Bidhaa :Sayansi

NI eneo la Sayansi Dar es Salaam ambapo Kamera ya mwana blog ililikuta gari hili likiwa linauza bidhaa mbali mbali na zilionekana kuwa ni bidhaa freshi zimetulia kwa maitaji.

Comments