![]() |
| Diamond akiwa na Victoria Kimani |
Video
ya wimbo wa pamoja ya wasanii zaidi ya 20 wa Afrika, imefanyika jana
jijini Johannesburg, Afrika Kusini, kwenye studio za M1 zinazomilikiwa
na shirika la SABC. Katika wimbo huo ambao unasimamiwa na One Campaign
kupitia mradi wake mpya wa ‘Go Agric’, Tanzania inawakilishwa na AY na
Diamond...
![]() |
| Wasanii hao wakiwa studio kushoot video hiyo Wasanii wengine kwenye mradi huo ni pamoja na D’Banj na Femi Kuti wa Nigeria, Victoria Kimani wa Kenya na wengine. |
![]() |
| Victoria Kimani |






Comments