Skip to main content

CCM yadaiwa kutumia migogoro kujiimarisha



lipumba_43cd2.png
Na Waandishi Wetu, Mwananchi
Dar/ Mikoani. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimezidi kujizolea viti vya udiwani kata mbalimbali ikiwamo Ludewa, Tarafa ya Kimamba, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro na Mkongoro, Wilaya ya Kigoma, mkoani Kigoma.
Juzi, CCM kilikuwa kimeshakutwaa Kata 23 huku Chadema kikinyakua vitatu wakati NCCR-Mageuzi iliambulia moja

Comments