Kiungo wa FC Barcelona Cesc Fabregas
ilimbidi awaombe radhi mashabiki waliohudhuria tuzo za Uingereza kwa
niaba ya klabu yake ya Fc Barcelona.
Fabregas ilimbidi aombe radhi baada ya mashabiki hao kuanza kumzomea pale alipopanda jukwaani kutoa tuzo ya kikundi bora cha kimataifa,akiwa jukwaani na mwanamuziki Nicole Scherzinger ndipo kelele za kumzomea zilipoanza kusikika ukumbini hapo na yeye bila kuchelea aliwajibu '' samahani sana kwa yaliyotokea jana,nimekuja hapa kwa amani kabisa'' alizungumza Fabregas kabla ya kuwatunuku tuzu hiyo wasanii wa kikundi cha Daft Pun.

Tuzo hizo zilifanyika jijini London kwenye ukumbi wa O2 Arena.
Fabregas akiwa na mwanamuziki Nicole Scherzinger....
Fabregas akitoka Hotelini jijini
Manchester na wachezaji wenzake mara baada ya mchezo dhidi ya Man City
kurejea nchini Hispania,lakini yeye alimbidi aende jijini London
kuhudhuria tuzo hizo.
Fabregas kushoto akishangilia na wachezaji wenzake bao la kwanza la Mesii kwenye mchezo dhidi ya Man City.Source www.shaffihdauda.com
Comments