Hawa ni miamba miwili kutoka Africa ainayofanya vizuri kwenye vilabu vya nje sasa kumekuwa na baadhi ya matambo kati ya hawa wawili kwamba na nani anamzidi mwenzake..
Eto’o alipatamagoli 100 katika kipindi cha misimi 5 akiwa katika timu ya FC Barcelona, Huyu ni mke wake anayefahamika kwa jina la Georgette
Haya ni magari anayo miliki mchezaji Eto'o
DIDIER DROGBA
Didier Yves Drogba Tébily alizaliwa 11 March 1978) huyu hapa ni mke wake
Magari anayomiliki
Nyumba yake
Hii ndo nyumba ya mchezaji Drogba yenye thamani ya Pound 14.5Million
Comments