Sikuchache zilizopita Prince Dully Sykes alifunguka kuhusu kufungiwa kwa
video yake ya kabinti special na Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) ,
sababu kuu mbili zilizosababisha video hii kufungiwa na ya kwanza ni
kitendo cha msanii Diamond Platnumz kuvaa T-shirt iliyoandikwa neno
ambalo ni tusi . Wadau wanasema kuwa ingekua kwa nchi za mbele basi ungekutwa t-shirt
hii wanaifanyia kitu kinaitwa “blurring” yaani
wanayafanya maneno yasisomeke lakini wabongo wakaona isiwe tabu na director akaamua kuacha video irushwe ikiwa katika hali hii.Sababu ya pili ni vazi la ufukwe yule demu alilovaa kitu ambacho dully ameona haikua mbaya.

Comments