Mambo haya
yalijifanyika huko DODOMA na kuitwa Car wash girls party watu wakipata
burudani kutoka kwa warembo waliokuwa wakijivinjari. Na huku bunge la
katiba likinguruma mambo ndiyo haya badala ya kazi ni wakati wakula
raha. Hapa Agness Massogange akifanya mambo yake yaliyosababisha hadi
pirato akatoa msamaha.
Mambo
yalikuwa hivi warembo wakionyesha ufundi wa kujinyonga nyonga sehemu zao
za kati. Hili mradi tu kutoa burudani kwa wapenzi na waandaaji wa Car
wash girls party hiyo iliyofanyika ndani ya jiji lililo maalufu kwa
vikao vya bunge (IDODOMYA.)
Miss akiosha gari kwa mashamushamu na pembeni watu wakipata urabu maisha yakiendelea bongo maisha tambalale
Jamaa akisema nikimaliza hapa naondoka na wangu maisha yenyewe marefu haya hacha nile ujana mieee!!.........
Comments