After all stories ku-fade out now ni muda wa Masogange
kuingia kazini thou kazi yenyewe imeanza na problems. Fineassgirl kama
anavyojiita kwenye instagram ambaye almost kila picha yake kwenye
application hii haikosi more than 100 likes kwenda mbele, she was about
to make her doubt kwenye movie industry.is a right way kwa Agness
“fineass” Masogange kujaribu kutafuta nafasi kwenye movie industry
kwasababu kuna video models wengi pande za USA wameweza kufakisha
wakianzia kwenye video modeling to movie kama Lauren London.
Bad news ni kwamba bila sababu ya msingi iliyotolewa ni kwamba
ilibidi Masogange aigize kwenye movie iliyokuwa inaandaliwa na Nisha
Film Company ya actress Nisha lakini the about to be actress haku-show
up kwenye location. Sources zinasema kwamba Agnes alikuwa tayari kufanya
movie kila kitu hadi mazoezi alifanya na script alipewa lakini
hakutokea kwenye location ya movie hiyo.
“Labda alikuwa na matatizo yake binafsi ambayo yamemfanya
kushindwa kufika location. Kama imekua nje ya uwezo wake kiasi hiki
hakuna jinsi kwasababu kila kitu kilikua tayari ameshaanza kifanya
mazoezi hadi ya script. Movie hiyo ingeitwa Zena na Betina labda movie
nyingine tena lakini hatufanyi naye tena movie hii” – alisema mdau mmoja wa movie hiyo.
Comments