Skip to main content

Meya matata: nitaondoka chadema mwakani

11 81d79
MEYA wa Manispaa ya Ilemela kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Henry Matata amesema anatarajia kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwakani. (HM)
Amesema atachukua hatua hiyo baada ya kuchoshwa na siasa za unafiki, ubabe, majungu na ukabila ndani ya Chadema.
Akizungumza nyumbani kwake, Matata alisema anajuta kujiunga na Chadema na kutumia gharama zake kubwa kukiimarisha na kujikuta akifukuzwa kutokana na majungu.
Matata amewapiga vijembe viongozi wakuu wa Chadema kuwa wamepoteza uelekeo na wanakiua chama hicho kutokana na kutokubali ushauri wa kukinusuru chama hicho.
Alisema ameamua kurejea CCM mwaka 2015 kutokana na mazingira yalivyo ndani ya Chadema kwa sasa ambako hakuna matumaini tena kutokana na mgogoro wa kung'ang;ania madaraka hali ambayo imekidhohofisha chama hicho.
Matata alisema kabla ya kukimbilia Chadema alikuwa ndani ya CCM lakini kutokana na kutokutendewa haki aliamua kukimbia kwa kudhani kile anachokipigania atakwenda kukipata ndani ya chama hicho lakini hali aliyoikuta kule ni tofauti.
Alisema kwake CCM ni kama nyumbani ndiyo maana hajuti kurejea mwakani na kuwania nafasi yoyote kutokana na mazingira yatakavyokuwa kwa wakati huo.
Matata alitamba kuwa anatarajia kuleta mtikisiko mkubwa ndani ya Chadema mwaka atakapoondoka na idadi kubwa ya wanachama wakiwamo madiwani ambao wamekuwa wakimuunga mkono. Chanzo: mtanzania

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.