Mtanzania
Hasheem Thabeet amejikuta akikumbwa na hofu ya kupoteza namba yake
baada ya mchezaji Steve Adams anayechipukia raia wa New Zealand ambaye
amesajiliwa mwaka jana na club ya Oklahoma city thunder alisainiwa na
timu hiyo july 2013 mpaka sasa ameonyesha uwezo mzuri hvyo kutishia
namba ya Hasheem, tangu asajiliwe amefanikiwa kufunga point 17 rebounds
10, assist 3 na blocks 3 ambapo ana wastani wa point 3.8 na rebound
4.6...
Kutokana na umahiri huo kumekuwa na vita ya namba baina ya wachezaji hao
Kutokana na umahiri huo kumekuwa na vita ya namba baina ya wachezaji hao
Comments