Picha:Jeshi la Polisi Wilaya ya Nanyumbu Wamekamata Watuhumiwa wa Usafirishaji wa Meno ya Tembo yenye uzito wa kg 130.6 yenye thamani ya Tshs Milioni 7.35
Mkuu wa Kituo cha Polisi
Mangaka Makao makuu ya Wilaya ya Nanyumbu Alfred Mbena akiwa na
askari wengine wakiangalia meno ya tembo
58 yenye
uzito wa Kg 130.6
Watuhumiwa wa
usafirishaji wa Meno ya Tembo ambao wamekamatwa wilayani Nanyumbu Mkoa wa
Mtwara yenye uzito wa kg 130.6 yenye thamani ya Tshs Milioni 7.35
katika Hamidu Ngunde (40) wa pili ni
Boniphace Msogo (29) na Geddat
Mmuni (36) ote wakazi wa Jijini Dar es Salaam wakiwa ndani ya gari la
polisi baada ya kumaliza upimaji wa uzito .
Watuhumiwa wa
usafirishaji wa Meno ya Tembo ambao wamekamatwa wilayani Nanyumbu Mkoa wa Mtwara
wakiwa wanaangalia upimaji uzito wa meno hayo yenye uzito wa kg 130.6 katika ghala lililopo makao makuu
ya wilaya hiyo mjini Mangaka kutoka kulia ni Hamidu Ngunde (40) wa
pili ni Boniphace Msogo (29) na Geddat Mmuni
(36)wote wakazi wa Jijini Dar es Salaam.Picha na Thomas
Dominick.
Source hakingowi.blogspot.com
Comments