Skip to main content

Hali ya kibinadam inaendelea kuwa mbaya-CAR



WANAWAKE_bb74a.jpg
Mashirika ya kutoa misaada yameonya kuwa endapo raia wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati ambao ni Waislamu, wataendelea kuihama taifa hilo, masoko ya nchi hiyo huenda yakasambaratika kabisa.
Mashirika ya kutoa misaada ya Oxam na lile la Action against hunger yamesema kuwa chini ya maduka kumi ya jumla ndiyo yalisosalia katika mji mkuu wa nchi hiyo na kuwa wafanyabiashara wengi wanaendelea kutoroka taifa hilo.
Kufuatia hali hiyo mashirika hayo yameonya kuwa hazina ya vyakula huenda ikapungua kwa kiasi kikubwa na kuwa bei ya vyakula huenda ikapanda zaidi.
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa zaidi ya asilimia tisini ya rais wa nchi hiyo, wanaishi kwa kula chakula mara moja kwa siku na kuwa hali hiyo huenda ikawa mbaya zaidi.
Wamama walioathirika na vita mjini Bangui.
Taifa hilo limegawanyika zaidi kufuatia vita vilivyoanza mwaka uliopita kati ya Wakristu ambao ni wengi nchini humo na Waislamu kufuatia mapinduzi ya serikali.
Maelfu ya Waislamu tayari wametoroka nchini humo na kutafuta hifadhi katika mataifa jirani ya Cameroon na Chad.
Upungufu wa chakula
Kwa sasa kuna upungufu mkubwa wa nyama kwa sababu wafugaji wamekimbilia msituni na wakati wanapochinja mifugo wao, bei yake ni ghali mno.
Wengi wa Waislamu waliofukuzwa na Wakristu walikuwa wakichangia pakubwa katika uchumu wa taifa hilo.
T_f0028.jpg
Wanajeshi wa Ufaransa wakishika doria mjini Bangui.
Umoja wa Mataifa umesema kuwa huku ikiwa imesalia chini ya mwezi mmoja kabla ya msimu wa upanzi, zaidi ya asilimia tisini na sita ya wakulima hawana mbegu.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. Sławomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...