Skip to main content

Kwa sasa Jezi za Mbeya City ghali kuliko za Simba, Yanga


 
JEZI ya Mbeya City ndiyo ya gharama kuliko zile za wakongwe Simba na Yanga, hii ni kwa mujibu wa mauzo ya mitaani.
Ukitaka jezi halisi ya Mbeya City utalazimika kulipa zaidi ya Sh15,000 ukiwa nje ya jiji la Mbeya, kwani jijini humo inapatikana kwa gharama hiyo katika duka lao.
Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Mbeya City, Fred Jackson, jezi zao wanaziuza kwa bei ya Sh15,000 lakini hadi ikifika Dar es Salaam au mkoa mwingne wowote inaweza kugharimu hadi Sh25,000.
“Wapo wanaouza jezi zetu hadi Sh35,000, tumewakataza wasiuze kwa bei ya juu kiasi hicho, kwani wanawaumiza wananchi. Tuna tawi pale Ubungo Terminal (kituo cha mabasi ya mikoani cha Dar es Salaam) na huwa tunazipeleka huko,” alisema Fred.
Hata hivyo Mwanaspoti limeshuhudia jezi hizo halisi za Mbeya City zenye nembo ya timu zikiuzwa kwa Sh25,000 huku zile ambazo si halali zikiuzwa kwa Sh15,000.
Jezi za Simba, Azam na Yanga ambazo si halisi zenyewe zinauzwa kwa Sh10,000. Bado hakuna jezi halisi za Simba na Yanga zinazouzwa madukani au mitaani.
Tangu Mbeya City ilipoanza kwa kishindo Ligi Kuu Bara msimu huu ambao ndio wa kwanza kwao, jezi za timu hiyo zimegeuka dili ambapo mashabiki mbalimbali wamekuwa wakizinunua kwa wingi. Hata hivyo hali hiyo imetoa mwanya kwa wajanja kutengeneza jezi hizo na kuziuza kwa Sh15,000 zikiwa hazina nembo ya timu hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.