Mwenyekiti wa TCD, James Mbatia alitangaza maazimio hayo juzi wakati wakufunga mkutano wa siku mbili uliohusu tafakuri na maridhiano kuelekea Bunge maalum la Katiba.
Dar es Salaam.Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimetoa maazimio 16 likiwemo la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kujenga hoja na kuepuka kusukumwa na maslahi binafsi na ya vyama vyao vya siasa katika mchakato wa kupata Katiba mpya.
Mwenyekiti wa TCD, James Mbatia alitangaza maazimio hayo juzi wakati wakufunga mkutano wa siku mbili uliohusu tafakuri na maridhiano kuelekea Bunge maalum la Katiba.
Comments