Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2014

Wabunge wawili CCM wajilipua

Na Waandishi Wetu, Mwananchi Dodoma/Dar. Wajumbe watatu wa Bunge la Katiba ambao ni wabunge wa CCM wametofautiana na msimamo wa chama chao kwa kuunga mkono kura ya siri itumike kuamua ibara za Rasimu ya Katiba Soma zaidi...

Waraka halali wa Muungano utumike Bunge la Katiba

Na Salim Said Salim WASWAHILI wana msemo maarufu unaoeleza kuwa mambo kangaja huenda yakaja. Sasa wakati waheshimiwa wetu wa Bunge Maalumu la Katiba, baada ya baadhi yao kutaka waongezwe posho ili watuwakilishe vizuri katika kuitafutia nchi yetu Katiba mpya wanatarajiwa kuanza kazi iliyowapeleka Dodoma wakati wowote kuanzia sasa. Kama wataongezewa posho nawapa hongera kwa kudai ‘haki’ yao na kama watakosa nawapa pole kwa ‘kudhulumiwa’. Tukumbuke kuwa miaka michache tu iliyopita kuzungumzia kuwepo kwa Jamhuri ya Tanganyika (aulizwe Mtikila kwa yaliyomkuta na kundi la G55 lilivyofungwa mdomo) na kutaka mfumo wa serikali tatu wa Muungano ilikuwa ni dhambi kubwa nchini kwetu. Baadhi ya wale waliothubutu kutoa kauli hizo au kuonyesha ishara ya kutaka hivyo walipambana na joto ya jiwe na hata baadhi yao kuambiwa kuwa si raia wa nchi hii. Yale yalikuwa mambo ya unyanyasaji wa hali ya juu (nawaonea imani waliobuni uchafu ule). Visa hivi vilipokuwa vinae...

MAPEDESHE VICHECHEZI WAENDELEA 'KUTESWA NA' LULU

MAN U VS OLYMPIAKOS - UNITED HAWAJAWAHI KUFUNGWA NA TIMU KUTOKA UGIRIKI

Olympiakos wana matumaini ya kuharibu rekodi ya Manchester United FC dhidi ya timu za Ugiriki wakati watakapokutana katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora ya UEFA Champions League katika dimba la Stadio Georgios Karaiskakis. • Mabingwa wa Uingereza hawahajwahi kupoteza mechi dhidi ya timu kutoka Ugiriki, lakini Olympiacos wapo kwenye kiwango kizuri na wanaweza kuiadhibu United.. Mechi zilizopita • United wameshinda mechi zote nne zilizowahi kuwakutanisha na Olympiacos, ushindi wa kwanza ulikuwa 2-0 jijini Piraeus msimu wa 2001/02 katika mechi ya makundi, mabao ya David Beckham na Andrew Cole aliyefunga mawili. Kikosi cha Sir Alex Ferguson tena kikashinda 3-0 jijini Manchester Ole Gunnar Solskjær, Ryan Giggs na Ruud van Nistelrooy walifunga katika dakika 15 za mwisho. Roy Carroll, ambaye sasa anaichezea Olympiacos lakini hayumo katika kikosi cha UEFA Champions League, alikuwa benchi katika ...

Wanamgambo waua wanafunzi Nigeria

Wanamgambo wa Kiislam wa kundi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria wametuhumiwa kushambulia shule moja na kuwaua wanafunzi kadhaa. Polisi nchini Nigeria wameliambia Shirika la Habari la Uingereza, Reuters kwamba wote waliouawa ni wavulana na kwamba baadhi ya miili ya wanafunzi hao imeungua na kubaki majivu. (Hudugu) Taarifa zinazohusianaMauaji, afrika magharibi Taarifa ya jeshi la Nigeria imesema shambulio hilo limefanyika katika jimbo la Yobe. Wakaazi wa mji wa Buni Yadi katika jimbo hilo, wamesema washambuliaji hao walivamia usiku na kuwachinja baadhi ya wanafunzi. Wamesema baadhi waliuawa kwa kupigwa risasi. Walimu katika chuo cha serikali ya shirikisho katika mji wa Buni Yadi wameliambia shirika la habari la AP kwamba wanafunzi wapatao 40 waliuawa katika shambulio hilo ambalo lilianza mapema Jumanne asubuhi. Jeshi limethibitisha kwamba shambulio hilo limetokea katika hosteli za wanafunzi lakini limesema...

HABARI ZAIDI ZA MILIPUKO YA MABOMU ZANZIBAR LEO LIVE!!!

Mji wa Zanzibar Polisi Visiwani Zanzibar wamethibitisha kutokea milipuko mitatu ya mabomu kati ya Jumapili na Jumatatu leo mchana visiwani humo. Akizungumza na mwandishi wetu Erick David Nampesya, mkuu wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame amesema milipuko miwili imetokea leo katika eneo la mgahawa wa Mercury huku mlipuko mwingine ukiwa umetokea katika eneo la Mkunazini, ikifuatia mlipuko uliotokea jana Jumapili katika eneo la Pangawe. Mkuu huyo wa Polisi Zanzibar amesema kuwa hakuna vifo wala majeruhi katika matukio yote matatu wala mali iliyoharibiwa, isipokuwa madhara ya kisaikolojia kutokana na hofu na taharuki kutokana na matukio hayo. Aidha mkuu huyo wa Polisi ameeleza kuwa upelezi unaendelea ili kuwabaini waliohusika katika matukio hayo ingawa hadi wakati huu hakuna mtu au mshukiwa yeyote aliyekwishamatwa kuhusiana na matukio hayo. Kuhusu h...

MASOGANGE NA MISS TZ WAFUNIKA MBAYA CAR WASH GIRLS PARTY DODOMA

Mambo haya yalijifanyika huko DODOMA na kuitwa Car wash girls party watu wakipata burudani kutoka kwa warembo waliokuwa wakijivinjari. Na  huku bunge la katiba likinguruma mambo ndiyo haya badala ya kazi ni wakati wakula raha. Hapa Agness Massogange akifanya mambo yake yaliyosababisha hadi pirato akatoa msamaha. Mambo yalikuwa hivi warembo wakionyesha ufundi wa kujinyonga nyonga sehemu zao za kati. Hili mradi tu kutoa burudani kwa wapenzi na waandaaji wa Car wash girls party hiyo iliyofanyika ndani ya jiji lililo maalufu kwa vikao vya bunge (IDODOMYA.) Miss akiosha gari kwa mashamushamu na pembeni watu wakipata urabu maisha yakiendelea bongo maisha tambalale Jamaa akisema nikimaliza hapa naondoka na wangu maisha yenyewe marefu haya hacha nile ujana mieee!!.........

Matokeo ya kidato cha nne 2013

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA Bofya hapa kuangalia matoko ya Kidato cha nne Ingia hapa kupata Matokeo ya Kidato cha Nne 2013/2014 Matokeo rasmi ya mtihani wa    kidato cha nne 2013/14   yametoka.  Kuangalia Matokeo hayo [ Bonyeza hapa ] - See more at: http://www.keezywear.com/#sthash.6xK4zZyj.dpuf Matokeo ya kidato cha nne 2013 Saturday, 22 February 2014 Imetumwa kwenye Jamii ...

Kagame joins Rusheshe residents for Umuganda

By Eugene Kwibuka President Paul Kagame yesterday joined residents of Rusheshe Village in Masaka Sector, Kicukiro District for the monthly community work, Umuganda. President Kagame helps build houses for the needy during the monthly Umuganda. Village Urugwiro The Head of State arrived at the site around 11 a.m. and joined local residents to build 350 homes for the vulnerable. Later, he delivered a speech in which he encouraged residents to work together to improve their lives. He advised them to pay special attention to their health, security, and education; three areas that he described as very critical for their success. “When development is based on people’s contributions, there is no doubt that our country will develop and we get out of poverty,” he said. Working hard to end dependence on foreign aid was highlighted as the president described handouts as recipe for humiliation among aid receivers. Though Rwanda currently depends on ...

VIDEO YA DULLY SYKES KUFUNGIWA

Sikuchache zilizopita  Prince Dully Sykes alifunguka kuhusu  kufungiwa kwa video yake ya kabinti special na Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) ,  sababu kuu mbili zilizosababisha video hii kufungiwa na ya kwanza  ni kitendo cha msanii Diamond Platnumz kuvaa T-shirt iliyoandikwa neno ambalo ni tusi  . Wadau wanasema kuwa  ingekua kwa nchi za mbele basi ungekutwa t-shirt hii wanaifanyia kitu kinaitwa “blurring” yaani wanayafanya maneno yasisomeke lakini wabongo wakaona isiwe tabu na director akaamua kuacha video irushwe ikiwa katika hali hii. Sababu ya  pili ni vazi la ufukwe yule demu alilovaa kitu ambacho dully ameona haikua mbaya.

Saudi religious police to monitor social media?

By Eman El-Shenawi | Al Arabiya News. A Saudi columnist has encouraged the country’s religious police to monitor social media platforms such as Twitter and Facebook, targeting “evil” accounts that “promote pornography, magic and sorcery.” Around 41% of Internet users in Saudi Arabia are on the micro-blogging site Twitter, with many accessing the site on their mobile phones. (File photo: Reuters) In a column published in the Saudi-based al-Madina newspaper on Friday, Lulu al-Hubaishi noted that efforts by the religious police, officially known as the Commission of the Promotion of Virtue and the Prevention of Vice, to target such “vices” should be bolstered. “The decision of the Haia (religious police) to activate its awareness and to monitor social media violations, which are difficult to control and purify in terms of contents, is extremely important in order to protect society and the youth, especially those who frequently visit social networking...

WASANII WA TANZANIA DIAMOND NA AY WASHOOT VIDEO NA MASTAA SOUTH AFRICA

Diamond akiwa na Victoria Kimani Video ya wimbo wa pamoja ya wasanii zaidi ya 20 wa Afrika, imefanyika jana jijini Johannesburg, Afrika Kusini, kwenye studio za M1 zinazomilikiwa na shirika la SABC. Katika wimbo huo ambao unasimamiwa na One Campaign kupitia mradi wake mpya wa ‘Go Agric’, Tanzania inawakilishwa na AY na Diamond... Wasanii hao wakiwa studio kushoot video hiyo Wasanii wengine kwenye mradi huo ni   pamoja na D’Banj na Femi Kuti wa Nigeria, Victoria Kimani wa Kenya na wengine. Victoria Kimani

WHATS APP YAUZWA NA FACEBOOK WAINUNUA ....DUUU WAMILIKI WAWA MABILIONEA

San Fransisco. Mtandao wa kijamii wa Facebook umenunua programu ya huduma za meseji ya WhatsApp kwa dola za marekani bilioni 19 (TSh 30.9 trilioni) katika taarifa iliyotoka mapema leo. Ununuzi huo wa WhatsApp umetengeneza mabilionea wapya angalau watatu, akiwemo mwanzilishi wa WhatsApp, Jan Koum, ambaye atajiunga na bodi ya wakurugenzi ya Facebook. Mwanzilishi mwenza wa WhatsApp, Brian Acton, naye anaingia katika orodha ya mabilionea wapya vijana. Miaka 4 iliyopita, Acton alijaribu kuomba kazi Facebook na Twitter baada ya kupunguzwa kutoka Yahoo, inaripoti blogu ya teknolojia ya Techcrunch. Hakufanikiwa. Leo hii, program aliyoitengeneza na rafikiye wa Yahoo, Koum, inagombaniwa na kampuni zilezile zilizomkataa na hatimaye, imenunuliwa kwa mabilioni ya dola na Facebook. Wengine walioula ni wawekezaji wa kwanza wa WhatsApp toka kampuni ya uwekezaji ya Sequoia. Techcruch inaripoti vijana wa Sequoia wametengeneza zaidi ya dola bilioni 3 (TSh 4.9 trilioni) – mara 50 ya pesa ...

Somalia’s presidential palace hit by car bomb

By Staff writer | Al Arabiya News Friday, 21 February 2014 Al-Qaeda-linked militants attacked the Somali presidential palace compound on Friday, blasting a hole in the perimeter wall with a car bomb and engaging in a fierce gun battle with African peacekeepers, Reuters reported. The United Nations envoy to Somalia said, via Twitter, that President Hassan Sheikh Mohamud (pictured) is unharmed. (Reuters) Al-Shabaab claimed the attack on the compound in Mogadishu while the United Nations envoy to Somalia said, via Twitter, that President Hassan Sheikh Mohamud is unharmed. “Our commandos have attacked the so-called presidential palace in order to kill or arrest those who who are inside,” al-Shabaab military spokesman Sheikh Abdul Aziz Abu Musab told Agence France-Presse. “We are still holding some of the buildings and the fighting is continuing. The commandos wanted to seize all of it,” he said. Onlookers described the attack as “large,” as informat...

FABREGAS AOMBA RADHI KWA NIABA YA BARCELONA KUIFUNGA MANCHESTER CITY.

   Kiungo wa FC Barcelona Cesc Fabregas ilimbidi awaombe radhi mashabiki waliohudhuria tuzo za Uingereza kwa niaba ya klabu yake ya Fc Barcelona. Fabregas ilimbidi aombe radhi baada ya mashabiki hao kuanza kumzomea pale alipopanda jukwaani kutoa tuzo ya kikundi bora cha kimataifa,akiwa jukwaani na mwanamuziki Nicole Scherzinger ndipo kelele za kumzomea zilipoanza kusikika ukumbini hapo na yeye bila kuchelea aliwajibu '' samahani sana kwa yaliyotokea jana,nimekuja hapa kwa amani kabisa'' alizungumza Fabregas kabla ya kuwatunuku tuzu hiyo wasanii wa kikundi cha Daft Pun.   Tuzo hizo zilifanyika jijini London kwenye ukumbi wa O2 Arena.    Fabregas akiwa na mwanamuziki Nicole Scherzinger....  Fabregas akitoka Hotelini jijini Manchester na wachezaji wenzake mara baada ya mchezo dhidi ya  Man City kurejea nchini Hispania,lakini yeye alimbidi aende jijini London kuhud...