Vodacom Miss Arusha City Center-2010, Zahra Seleman akipunga mkono.
Vodacom Miss Arusha City Center-2010, Zahra Selemani (kati), akiwa na mshindi wa pili Glady Mollel (wa kwanza kulia) ndiye Kisura aliyeweza kujinyakulia taji la kuwa Balozi wa hoteli ya Naura Springs ya jijini Arusha pamoja na mshindi wa tatu, Bertha Dennis (kushoto) aliyejinyakulia taji la kuwa Miss Arusha City Center Talent.
Comments