ALI KIBA AKUENDELEZA MAKAMUZI YAKE KATIKA BONGO UK SPRING TOUR 2010, KESHO JUMAMOSI ATAWAPA BURUDANI WAKAZI WA IRELAND KATIKA UKUMBI WA MELODY ULIOPO DUBLIN.
HII NI KATIKA KUADHIMISHA MIAKA MITANO YA USIKU WA WATU WA EAST AFRICA MAARUFU KAMA "MOTO SANA"AMBAO UNASIMAMIWA NA DJ SPAQZ KUTOKA KENYA!SOLO THANG NA TRIBE WATAKUWEPO KATIKA KUMPA SHAVU ALI KIBA ATAKAPO WAPA RAHA MASHABIKI NA VIBAO VYAKE VYOOTE VINANAVYOTAMBA MPAKA SASA!MA DJS USIKU HUO NI SPAQS,GUY,EDDY RASTA NA FRANK JEZZ.KIINGILIO 20 € KILA KICHWA.
KUANZIA SAA TATU ZA USIKU MPAKA KUNAKUCHA NA KISHA AFTER PARTY KWA WAALIKWA!SI YA KUKOSA HII......WOOOTE MNAKARIBISHWA!ADRESS YA UKUMBIMELLODY 122 CAPEL STREET D 1.
Comments