Skip to main content

Kibarua wa Ujenzi Adondoga Ghorofani Dar !!!

GARI la Polisi likiondoka na mwili wa mtualiyekuwa kibarua wa ujenzi katika Ghorofa moja Jijini Leo katika ajali iliyotokea mchana wa leo
MWILI wa mtu aliyedondoka katika moja ya Ghorofa lililokuwa likijengwa mtaa wa Makunganya
ambaye ni mkazi wa Kigamboni ukuchukuliwa na Polisi leo mchana .


BAADHI ya Polisi watumiao usafiri wa Pikipiki kuimalisha Usalama na Amani mitaani nao walifika ghafla katika tukio hilo.

GHOROFA alilodondoka kutoka juu ghorafa ya pili , Salum Msepele na kuumia vibaya.

GARI liliobeba mwili wa huo kuupeleka Hospitali .

VYOMBO vya habari vilivyo wai kufika katika tukio hilo vikiwajibika kupata habari leo mchana.

Comments