Skip to main content

NI Katika Kumtafuta Kisura Vodacom Arusha


MGENI rasmi katika shindano la kumtafuta Vodacom Miss Arusha City

Center Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Eng. Raymond Mushi akizungumza

machache mara baada kutambulishwa na mkurugenzi wa Sophy Entertainment,

Sophia Urio ambaye alikuwa ni muandaaji wa shindano hilo.

Comments