
Hoo muda mfupi tu , uliopita nimemsikia mtangazaji maalufu FM Kibonde wa Redio Clouds FM , akiongerea kuhusu foleni ilioshamili kwa muda mrefu maeneo mbali mbali muda wa mchana Jijini Dar es Salaam , foleni hizi hasa leo ilikuwa 'weacha tu' hali kama hii ilikuwepo Jijini ,Barabara ya kuelekea Mwenge pamoja na ile ielekehayo eneo la Kawe zimeonekana kuwa na usumbufu na wakazi waliokuwa wakielekea na uelekeo huo wametumia muda mwingi kupanga foleni leo mchana.
Comments