Skip to main content

Utalii Waipaisha Tanzania Kimataifa

Kaimu Mkurugenzi wa Masoko Bodi ya Utalii (TTB)Geofrey Meena akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa bodi hiyo uliofanyika leo wakati alipokuwa akielezea tuzo yao waliyoipata kwenye maonyesho ya Utalii ya Kimataifa ya INDABA Nchini Afrika Kusini hivi karibuni.
Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii nchini TTB Geofrey Meena kushoto na Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa bodi hiyo Mussa Kopwe katikati wakionyesha tuzo ya INDABA waliyoipata kwenye maonyesho ya Utalii yaliyofanyika nchini Afrika kusini hivi karibuni anayeshuhudia kulia ni Edward Mbwiga Meneja wa Fedha TTB.

Bodi ya Utalii Tanzania TTB leo imeonyesha kwa waandishi wa habari TUZO waliyopata siku za hivi karibuni wakati wa maonyesho ya Utalii yaliofanyika mjini Durban, nchini Afrika Kusini kuanzia tarehe 8 hadi 11 Mei 2010. Maonyesho haya yanajulikana “INDABA, Travel Show” na yanafanyika kila mwaka nchini Afrika Kusini.
Maonyesho ya INDABA ni kati ya maonesho makubwa matatu ya utalii duniani, maonyesho mengine ni World Travel Market (WTM) yanayofanyika nchini Uingereza na ITB yanayofanyika nchini Ujerumani. Kwa miaka miwili mfululizo Maonyesho yameelezwa kama ndio maonyesho bora barani Africa
Tanzania ilishiriki kikamilifu kwenye maonyesho haya na Taasisi za Serikali nne ziliweza kushiriki ambazo Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Hifadhi za Taifa TANAPA, Mamlaka ya Bonde la Ngorongoro (NCAA) na Kamisheni ya Utalii Zanzibar.(ZCT)
Pamoja na taasisi za serikali, pia kulikuwa na kampuni binafsi 52 ambazo kati ya hizo 22 zilikuwa ni za kuongoza watalii (Tour Operators), 27 kutoka sekta ya hoteli, na kampuni 3 za ndege ziliweza kuwakilishwa.
Kama yalivyokuwa mashindano mengine, Tuzo hii linatolewa kila mwaka na nchi zote za 14 za SADC zinazoshindanishwa. Kwa mwaka huu TANZANIA ndio iliyoibuka kidedea na kutapa Tuzo ya kwanza “Platinum Award” na kuwashinda nchi zote nyingine za SADC pamoja na nchi ya jirani (Kenya). Kigezo kilichoshindanishwa ni pamoja na ubora wa banda, ushiriki wa sekta binafsi kwa maana bidhaa zilizokuwa zinauzwa, pamoja kauli mbiu yetu tuliyotumia mwaka huu ambayo ni “Experience the Real Game in Africa na nyingine “Celebrate FIFA world cup in Tanzania” WELCOME TO TANZANIA”, (“Karibu Afrika kwa Kombe la Dunia, Tembelea Tanzania Ujionee Vivutio vya Utalii”).
Bodi ya Utalii inajivunia Tuzo hii na inaahidi kuendelea kuongeza nguvu ya kutangaza, kuimarisha na kuboresha sehemu mbalimbali za vivutio vya utalii ikiwa ni pamoja na kudumisha ushirikiano wa kikazi na nchi za SADC, vile vile kuweza kutumia ujio wa Kombe la Dunia na FIFA nchini Afrika Kusini, kuvutia watalii wengi zaidi kuja kutembelea vivutio vya utalii nchini.
Wizara ya Maliasili na Utalii ikishirikiana na Bodi ya Utalii tumeweze kuwaleta waongoza utalii (Tour Operators) 38 kutoka Afrika Kusini kuja kutembelea vivutio vyetu ili waweze kuviuza kwa watalii wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia. Vile vile, tumeweze kujitangaza kwenye majarida mbalimbali mashuhuri ya Afrika Kusini, na tunatarajia kushiriki tena maonesho mengine ya utalii yajulikanayo kama “World Tourism and Sports Destination Expo” yatakayofanyika tarehe 5 – 9 Juni 2010 kabla ya kuanza mashindano ya Kombe la Dunia.
Bodi ya Utalii inapenda kutoa shukrani kwa taasisi za serikali makampuni binafsi na wadau wote wa utalii waliofanikisha ushindi wetu na
Mwisho tunatoa shukurani kwa Wizara ya Maliasili na Utalii na Kamisheni ya Utalii za Zanzibar kwa ushirikiano mzuri waliotupa.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.