Skip to main content

DJ Victor Anavyo Waeusha Mashabiki Club Masai

NI raha ya kufa mtu katika kuizimia mikito mashabiki wengi wanakubali kiwanja cha Club Masai
mvuto wa kupagawa toka kwa madj wakali ndio gumzo ya Club , Dj Victor akiangusha urefu wa shuguli katika kuporomosha burudani inayoambatana na track bomba .... jama ana maujanja ya kutatisha ilembayaaaaaaa.

Comments