Skip to main content

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Azungumza na Wanawake wa Kabila la Wataturu

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na wanawake wa kabila la Wataturu baaada ya kuvalishwa na wazee wa kabila hilo vazi la asili na kupewa mkuki katika mkutano wa hadhara uliofanyiaka Itigi wilayani Manyoni Aprili 27, 2010.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments