WADAU wa muzi wamempongeza Dj Peter Moe kwa kutumia mfumo mpya wa Sayansi na Teknologia baada ya kuziona Track alizozicheza moja kwa moja kwenye Projecta ikizionesha (live) Papo kwa Papo.
Nyimbo za Hip Hop na zilizotikisa miaka ya tisini kuja juu zilonekana kugusa hisia za wengi , sambamba na mikito mingine ya aina tofauti.
Picha hiyo inaonesha hatua ya kuanza kwa disko hilo mapema sana wakati blog hii ilipojili katika mishemishe ya hapa na pale siunajua wikiend babuu.
Comments