Mkurugenzi wa Sophy Entertainment, Sophia Urio akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliyofanyika jana jioni jijini Arusha. Kutoka kulia ni Henry Tzamburakis ambaye ni meneja wa Vodacom Kanda ya kaskazini, Beatrice Dallaris ambaye ni meneja wa hoteli ya Naura Springs. Wengine ni Nsia Swai ambaye ni mmoja ya majaji na Daniford Mpumilwa ambaye ni jaji mkuu katika shindano hilo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments