YANGA kupitia Uongozi wake imemfukuza mchezaji AMIR MAFTAH na kuvitka vilabu vinavyotaka kumsajiri mcheza huyo kuwa huru kusajiri.
Mwenyekiti wa YANGA IMAN MADEGA amesema mchezaji huyo amekuwa na utovu wa nidhamu mara nyingi lakini klabu imekuwa ikimvumilia.
MADEGA amesema uamuzi wa kumfukuza mchezaji huyo umetokana na kupiga mchezaji wa SIMBA wakati wa mchezo wa ligi kuu TANZANIA BARA kati ya SIMBA na YANGA
AMIR alipewa kadi nyekundu wakati wa mchezo na kuisababishia timu ushindi baada ya kubakiwa na wachezaji nane.
KANAVARO NA NGASA WAPEWA ONYO KALI.
MADEGA amesema anamshagaa mchezaji NGASA akidai anataka kwenda kuchezea klabu ya AZAM wakati mkataba wake unamalizika 2012 baada ya kusaini mkataba wa miaka minne tangu mwaka 2008 .
Pia amesema mchezaji KANAVARO baada ya kumalizika kwa mkataba wa zamani mchezaji huyo alisaini mkataba mpya ambao unaisha 2012 ,hivyo wachezaji hao ni wachezaji halali wa YANGA.
lakini MADEGA amesema iwapo timu yoyote ile inawataka wachezaji hao wanatakiwa kukaa mezani kukubaliana juu ya kuwahamisha

Comments