AZAM FC yamnyakua mlindamlango wa JKT Ruvu na timu ya Taifa Jackson Chove,(Pichani ) Mwenyekiti wa Azam FC Said Mohamed Said akimkabidhi UZZZZZ wa timu hiyo , tayari kukipiga rasimi.
SASANGAZA kukipiga rasimi Azamu FC , Mwenyekiti wa Azam FC Said Mohamed Said, jana alimkabidhi Mrisho Ngasa Jezi namba 16 yenye jina la timu hiyo na kuondoa hali ya utata juu ya mchezaji huyo kwa mashabiki waliokuwa wanahamu ya kufahamu mchezaji huyo atakipiga kweli chama la Azamu ama ..... , Mwenyekiti Said alisema Ngasa ametua Azam kwa kitita cha Sh milioni 58 makubwa haya DUUU Kweli Azam tishio nchini na wengine wajaribu.
Comments