Ebwana Mchoro Kama Huu ni Fundisho Tosha!!! May 01, 2010 MOJA ya mchoro wa kusisimua unaoelezea juu ya pato la kodi katika sehemu flani , likitozwa na mtoza ushuru bila kuboresha mazingira katika biashara husika, cheki samaki zikiloweshwa na tope katika maji yachurizikayo yaani maji taka . Share Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Share Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Comments
Comments