Skip to main content

Hali Ilivyokuwa Katika Motocar Jijini Dar wakati Mvua Zikiendelea Kunyesha Dar


USAFIRI wa Daladala ulivyo kuwa mgumu wakati wa mvua zinazoendelea kunyesha Jijini Dar es Salaam , baadhi ya wasafiri walilazimika kupigania kuingia katika Daladala(Motocar),
Jijini Dar es Salaam.

Comments