Mnadhimu Mkuu wa majeshi Jenerali Abdurahman Shimbo akiwa
ameongozana na Katibu Mkuu wa wa Wizara ya Miundombinu Eng.Omar
Chambo wakikagua darala la Munisagala .
Pichani ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ),
Jenerali Abdurahman Shimbo akimpa maelezo katibu mkuu wa Wizara ya
Miundombinu wakati wa kukabidhi reli ya kati baada ya ukarabati wa reli
hiyo hapo jana kwa Wizara ya Miundombinu iliyoharibiwa na mvua
mwishoni mwa mwaka jana (dec 2009) kati ya maeneo ya Gulwe hadi
Kilosa mkoani Morogoro.
Ukarabati huo wa 68 km umegharimu shilingi 15.6 bilioni (tz) , ambao
Jeshi la wananchi limekamilisha agizo la RaisJakaya Kikwete kulitaka
kukamilisha ukarabati huo kwa haraka ili wananchi kuondokana na kero ya
usafiri pamoja na kuiletea taifa mapato ya uchumi.Kwa wakati huu itaanza
kutumika kwa treni za mizigo hadi itakapotangazwa rsami kuanza safari za
abiria.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa -MAELEZO

Comments