JACKSON Makini Ngechu a.k.a Prezoo ambaye ni mmoja ya majaji wa Vodacom Miss Arusha City Center akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliyofanyika katika hoteli ya Naura Springs jijini Arusha.
Shindano la Vodacom Miss Arusha City Center limeandaliwa na Kampuni ya Sophy Entertainment ya jijini Arusha na inatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa hoteli hii, kesho ijumaa kuanzia saa moja usiku na kumalizika saa sita usiku.
Kutoka kulia ni Nsia Swai ambaye atakuwa ni jaji, Henry Tzamburakis ambaye ni meneja wa Vodacom Kanda ya kaskazini. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Sophy Entertainment, Sophia Urio na Beatrice Dallaris ambaye ni meneja wa hoteli ya Naura Springs.

Comments