MATEO wapili kutoka kulia mdau mkubwa katika Groove Back akiwa na wazungu jana Usiku hapo Zhonghua Garden.
BABUU wa Kitaa kiwa na Romeo (Anayechati naSimu) uku akipiga stori kwenye disco kamambe la Jijini Dar es Salaam liitwalo Groove Back jana Usiku ambapo disco ilolilifanya mambo makubwa chini ya Dj Peter Moe na kila track iliyo poromoshwa ilionekana kupitia projecta mambo yalikuwa makubwa usiku wajana hapo kwenye ukumbi huo maarifu uitwao Zhohunghua Garden barabara ya Ali Hasan Mwinyi Dar es Salaam.
BABA Diana katikati akiwa na wanenguaji wa Bandi ya Twanga Pepeta muda mchache pale Viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam.
NI leo jioni katika Viwanja vya Leaders wakwanza kutoka kulia ni Kingkif namie Machibya , jioni ya leo kama kawaida yake bendi ya muziki wa Dansi ya Twanga Pepeta ilikuwa ikifanya makamuzi katika Bonanza lake la kila Jumapili katika viwanja hivyo.
NDANI ya Groove Back usiku wa jana, kutoka kushoto ni mie mmiliki wa blog nikiwa na Babuu wa Kitaa.
Comments