Mhe. Sophia Simba ( Mb) akiongoza ujumbe wa Tanzania wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 57 wa Kamisheni kuhusu Hali ya Wanawake ( CSW) mkutano huo wa wiki mbili umeanza siku ya jumatatu hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa, wengine katika picha ni Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Mhe. Engera Kileo Mmari Jaji wa Mahakama ya Rufa, Naibu Mwakilishi wa Kudumu, Balozi Ramadhan Mwinyi, wengine ambao wapo katika meza hiyo ya Tanzania, ni Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Bi. Kijakazi Mtengwa na Mhe. Imani Aboud Jaji wa Mahakama ya Rufaa
Na Mwandishi Maalum
Mkutano wa 57 wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa Kuhusu Hali ya Wanawake (CSW),
umeanza siku ya jumatatu hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.
Mkutano huo
wanaohusika na masuala ya wanawake na maendeleo ya jamii kwa ujumla,
mbalimbali vikiwamo vyama visivyo vya kiserikali kutoka duniani kote.
Ujumbe wa
washiriki kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar unaongozwa na Waziri wa Maendeleo ya
Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Sophia Simba ( MB).
Miongoni mwa wajumbe wa Tanzania
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Bi. Fatma Gharib Bilal, Katibu Mkuu, Wizara ya Ustawi
na Maendeleo ya Jamii,
Majaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Engera Kileo Mmari na Mhe. Iman Daud Aboud.
Akifungua mkutano huu, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. Jan
amesisitiza kwa kusema, vita vya kuutokomeza ukatili dhidi ya wanaweke lazima iwe ya kufa
na kupona.
Akaeleza kwamba ukatili dhidi ya wanawake ni jambo linalotokea kila mahali hata katika nchi
zilizoendelea.
Akabainisha kwamba ili kukakibiliana na ukatili dhidi ya wanawake, panahitajika
mchanganyiko kuanzia serikalini kwa kutekeleza sera za kuwawezesha waathirika wa vitendo
hivyo , kuwaadhibu wahalifu
Akaeleza pia kwamba, wanaume na watoto wa kiume wanatakiwa kuhamasishwa kushiriki
katika kupiga vita ukatili dhidi ya wanawake ikiwa ni pamoja na kuwajengea utamaduni wa
kuwajibika katika shughuli mbalimbali za kifamilia.
Akaeleza
vinafanyika katika maeneo yenye vita na migogoro lakini pia vinafanyika katika nchi zenye
amani na utulivu. Na kama hiyo haitoshi vinatendeka pia kwenye miji mikuu
vijijini.
wa wiki mbili
na ambao hufanyika kila mwaka unawakutanisha Mawaziri
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
katika
mkutano huu unaowajumuisha
ni
Bi Kijakazi Mtengwa, Katibu Mkuu Wizara ya
Vijana,Wanawake, na Watoto, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,
zaidi kwamba,
vitendo hivyo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto
“Ni vitendo” anasema Naibu Katibu Mkuu. “Vinavyotokea katika maeneo ya wazi na yaliyojificha
pia. Na kwa kuwa ni jambo lisilokubalika katika maisha yetu ya kila siku, tunawajibika
kulishughulikia kwa nguvu zote kila mahali na katika ngazi zote”.
Kwa mujibu wa Taasisi ya UN-WOMEN zaidi ya asilimia 70 ya wanawake katika baadhi
ya nchi ni wahanga wa ukatili au ukatili wa ngono katika maisha yao. Na katika nchi kama
vile Australia, Canada, Israel, Afrika ya Kusini na Marekani asilimia kati ya 40 na 70 vifo vya
wanawake vinasababishwa na masuala ya mapenzi.
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa UN-WOMEN Bi. Michelle Bachelet amewaeleza wajumbe wa
Kamisheni hiyo kwamba, dunia haiwezi tena kuendelea kuhimili gharama za vitendo vya ukatili
dhidi ya wanawake na watoto.
Akaongeza kwamba ni wakati muafaka na wa haraka kwa serikali kuchukua hatua dhidi ya
vitendo hivi ambayo anasema vinaendelea kulalamikiwa katika jamii
Mwenyekiti wa CSW Balozi Marjon Kamara ambaye ni Balozi wa Liberia yeyé amesema
katika wiki mbili za mkutano huo wajumbe watajadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu
mbinu mbadala na zinazotekelezeka za kuzuia ukatili dhidi ya wanawake na watoto wa wakike,
mbinu ambazo kweli zitaweza kuleta matokeo.
Pamoja na Ujumbe wa Tanzania kushiriki kikamilifu katika mikutano na mijadala mbalimbali
ambayo imo ndani ya ratiba kuu ya
side Events), kwa lengo la kuonyesha uzoefu wa Tanzania katika kukabiliana na ukatili dhidi ya
wanawake na watoto wa kike
Mjadala wa kwanza umeandaliwa na washiriki kutoka Tanzania Visiwani, mada yake itahusu:
Vunja ukimya, unga mkono juhudi za sekta mtambuka katika kuzuia na kukabiliana na unyanyasaji dhidi
ya wanawake; uzoefu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; mfano wa Zanzibar.
Na mjadala wa pili umeandaliwa na Chama cha Majaji Tanzania, utajadili kuhusu: Ukomeshaji
wa matumizi mabaya ya mamlaka kwa madhumuni ya kudhalilisha kingono ( sextortion); Uzoefu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
CSW. Tanzania nayo itakuwa na mijadala yake miwili
Comments