Skylight Band ikiwapa raha mashabiki wake kwenye kiwanja chao cha nyumbani Thai Village-Masaki jijini Dar
Hapo vipi imekaaje poa eeeh….Mrembo akiweka pozi kupata snap.
Mkurugenzi
wa Perfect Lady Saloon ya Kinondoni(katikati) akishow love na Star wa
Bongo Movie Snura (kul;ia) pamoja na shostito wao.
Mashabiki wa Skylight Band katika pozi matata kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Comments