Wanachama wa CCM DMV mnaombwa kuhudhuria mkutano mkuu wa kuchagua viongozi wa CCM Tawi la DMV utakaofanyika:
SIKU: JUMAMOSI MACHI 16, 2013
MUDA: SAA 9 JIONI (3pm) Tafadhali zingatia muda.
MAHALI: 500 Sligo Avenue
Silver Spring,Md 20910
Tume ya uchaguzi tawi la CCM-DMV inawatangazia wanachama wote wa CCM-DMV
utaratibu utakaotumika katika kuchagua viongozi Machi 16,2013 kama
ifuatavyo:
1.Kila mwanachama wa CCM-DMV awe na kadi yake ya uanachama iliyoambatanishwa na picha yake.
2.Kila mwanachama wa CCM-DMV kabla hajaingia katika ukumbi wa mkutano kadi yake itahakikiwa uhalisi wake.
3.Baada ya uhakiki wa kadi, kila mwanachama ataandikishwa jina lake
kamili,namba ya simu,anuani ya barua pepe(email address) katika daftari
la orodha la CCM-DMV.
4.Baada ya huo utaratibu hapo juu(namba 1-3)kukamilika ndipo zoezi la upigaji kura utaanza.
KAMA UNA SWALI LOLOTE KUHUSU UCHAGUZI TAFADHALI WASILIANA NA TUME YA UCHAGUZI
1.Hidaya Mahita(240)-271-7799(Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi)
2.Zainab Buzohela(202)-403-973
3.Anton Mkai(240)-643-0267
4.Baraka Daudi(301)792-8562
Kushiriki kwako bila kukosa ndio kufanikisha Uchaguzi huu.
Umoja ni Ushindi
Kidumu chama cha Mapinduzi
Comments